Wednesday, November 16, 2011

MASHINDANO YA NGUMI YA KOVA CUP BADO YANAENDELEA.


Bondia Sunday Elius akipambana na Abdallah Kasimu wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana Kasimu alishinda kwa point.

Bondia Mussa Mohamedi (kulia) kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makonde na John Christian wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana Mussa alishinda kwa point.

No comments:

Post a Comment