Saturday, November 12, 2011

MACHINGA WA MWANJELWA, MBEYA WALIVYOKINUKISHA JANA

Wamachinga wakiwa Tayali kwa ajili ya Kupambana na FFU wakati wa tukio hilo
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
Polisi wakijalibu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga

 Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo 

No comments:

Post a Comment