Tuesday, November 8, 2011

PSPF YAKABIZI MSAADA KWA KIKUNDI CHA WALEMAVU CHANG'OMBE

Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma PSPF, Bi.Fatma Elhady  (kushoto) akimkabidhi msaada wa hundi ya shilingi milioni 1.5 Bi.Dominion Apiyo wa Kikundi cha Walemavu cha Little cha Chang'ombe wilayani Temeke,Dar es Salaam jana.
(.Picha na mpigapicha wetu) 

No comments:

Post a Comment