Tuesday, November 8, 2011

ILIVYOKUWA KWENYE UZINDUZI WA ALBAM YA 'DUNIA DARAJA' YA TWANGA PEPETA


Wasanii wa Twanga Pepeta muda mfupi baada ya kuwasili katika viwanja vya Leader.

Meya wa Kinondoni,  Yussuph Mwenda akizindua albamu ya 11 , ya bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta' Kisima cha burudani, uzinduzi huo wa kufana ulifanyika katika viwanja vya Leaders Club ambapo mwaka huu uzinduzi huo ulikwenda sambamba na Tamasha la soka lililofahamika kwa jina la Twanga Festival.
Vijana wa Asha baraka wakiwa KAZINI

No comments:

Post a Comment