Thursday, November 10, 2011

CHADEMA WASITISHA MAANDAMANO

Mwita mwikabe ambaya ni mkurugenzi wa taifa wa sera na utafiti wa Chadema akifafanua kwa waandishi wa habari sababu za kuahirisha maandamano ya leo
Wafuasi wa Chadema wakitawanyika kwa amani baada ya kuombwa na mwenyekiti taifa na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kuwa waahirishe ili akamilishe mazungumzo na wakuu wa polisi.

Mwenyekiti wa BAVICHA Ndg.John Heche akizungumza na wanahabari juu ya maandamano na sababu za kusitisha maandamano hayo.
Askari polisi wakiwa kazini leo
Mmoja wa askari polisi akiwa kazini leo wakati Chadema walipoahirisha maandamano yao Kimara Dar es salaam leo

No comments:

Post a Comment