Sunday, November 20, 2011


Bondia Mussa Mohamedi (kulia) akimfulumusha makonde mfululizo, Fadhili Hassani wakati wa mpambano wa mashindano ya Kova Cup yaliyomalizika, Dar es salaam jana Mussa alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu 
Mabondia wa kike Mariamu Edwer (kushoto) na Matha George wakipambana wakati wa mashindano ya Kova Cup yaliyomalizika, Dar es salaam, jana Matha alishinda kwa ponti.
(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment