Friday, November 11, 2011

HAPPY B'DAY MY SISTER MARIAM

Leo ni siku nzuri kwa mdogo wangu huyu (MARIAM SULEIMAN LYEME a.k.a MAM SULE). leo anatimiza miaka ishirini na .........  kampuni ya Sule's Inc. & Entertainment na Blog ya Mtoto wa kitaa wote kwa pamoja wanamtakia sikukuu njema ya kuzalia

No comments:

Post a Comment