Tuesday, May 17, 2011

WAZIRI NCHIMBI ALIPOKUTANA NA WASANII JANA KATIKA UKUMBI WA BASATA.


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dr. Emmanuel Nchimbi (Mb) akiongea na wasanii kusisitiza kuwepo kwa vigezo vya kuchagua washindi wa tuzo mbali mbali ambazo huwa wanapewa hiyo ilikuwa ni katika ukumbi wa BASATA, jijini Dar.

Mwanamziki mkongwe, Hamza Kalala nae akichangia mada.Hamis Mwinjuma a.k.a MwanaFA nae akichangia mada. 
Msanii wa kizazi kipya Keisha akitilia msisitizo.
Adam Juma wa Visual Lab akichangia mada.
Katibu Mtendaji wa BASATA, Gonche Materego akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dr. Emmanuel Nchimbi (Mb) akiomuongoza kuingia katika mkutano na wasanii katika ukumbi wa BASATA.Msanii mkongwe Mzee Mapili nae hakuwa nyuma.
Wasanii wa kizazi kipya wao walikuwepo.
Waimbaji wa nyimbo za injili nao waliitikia mwitikio.Hapa wasanii walikuwa wakibadilishana mawili matatu.
Wasanii wakijiandikisha nkuingia kwenye mkutano.

No comments:

Post a Comment