Wednesday, May 18, 2011

JINSI ILIVYOKUWA KWENYE KWENYE UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA UHURU

Timu nzima ya mtoto wa kitaa ikiongozwa na SULE JUNIOR ilikuwepo katika kushuhudia tukio zima
Wasanii na watu waote wakiwa uwanjani kama wanavyoonekana 
Mtoto wa kitaa akiwasiliana na wadau
Seting zilikuwa kama hivyo na baadae upgaji wa pcha ukaanza
Eddy Juma (kulia) akiteta jambo na produce Lamaar
Adam juma akipga picha zake
Ruge akimuelekeza kitu Adam Juma
Uchukuaji wa picha ukiendelea
Bw. Ruge na Vida wakifuatilia mchongo wote
Muda wa mapunziko


Mpango mzima wa msosi ulikuwepo
Baada ya kuchoka watu tulitulia chini kuvuta pumzi
Duly (katikati) akimtambulisha Sheta (kulia) kwa Profesor Jay (kushoto)
 
Sulke Junior na Farid Kubanda
"Asa kwani umetumwa utupige picha"
"unajua we Sule mimi sina namba yako"
Sule Junior (kushoto) na Adam Juma
Sule Junior (kushoto) Adam Juma na King Swalehe
King Swalehe na Kala Pina - Hapa ndio tukiwa tuaningia Russian Calture 

No comments:

Post a Comment