Wednesday, May 18, 2011

BABU KAJU ATOA KITABU CHA HADITHI - FADHAA

Na huu ndio ujumbe kutoka kwa Alex kajumulo (BABU KAJU)

"KWA WATANZANIA WAZANGU NIMETOA KITABU NOVEL YA KISWAHILI YA KWANZA KINAPATIKANA KWENYE ITUNE AU AMAZON KENDO HIKI NI KITABU CHANGU CHA PILI NA NI CHAKWANZA CHA KISWAHILI JIANDAE KUKIPATA KAMA UTAKUA UNAKIHITAJI JOH. THENKA AGIN THIS ALEX KAJUMULO THE BUSHMAN. ONE LOVE IS LAW."

No comments:

Post a Comment