Wednesday, May 18, 2011

DOWNLOAD NGOMA MPYA YA PROF. JAY- KAMA IPO (KUPANDA NA KUSHUKA)

Baada ya kimya kirefu kwa zaidi ya miaka mtatu mtu mzima ,the Heavy Weight MC,Prof.Jay(Joseph Haule) yupo tayari kushai  kwa mara nyingine. kupitia ngoma yake mpya ambayo ni ujio mpya wa albam nyake ambayo hakuitaja jina, Prof.Jay ameacha ngoma mpya inayoitwa Kama Ipo(Kupanda na Kushuka). katika ngoma hii ,Prof.Jay amethibitisha kuwa hakuitwa Professor kwa bahati mbaya.

No comments:

Post a Comment