Tuesday, October 18, 2011

WAREMBO WA CHUO KIKUU KUTOANA JASHO JUMAMOSI HII


  Shindano la kumsaka mrembo wa chuo kiu cha Kmpala International University 2011 litarajiwa kufanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (quality center) uliopo barabara ya Pugu,jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 octoba.
Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya kipya Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mabali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya majai pamoja masupastaa wa movie.

No comments:

Post a Comment