Monday, October 3, 2011

KASEBA NDIO BINGWA WA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI


Mabondia Japhert Kaseba (kushoto) akipambana na Maneno Oswald wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa PST uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa pointi..
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Iddy Azani akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambuliwa na chama cha mchezo wa ngumi za kulipwa PST bondia Japhet Kaseba baada ya kumtwanga Maneno Oswald kwa Point  jijini Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment