Wednesday, October 12, 2011

SHUKRANI


DR.SHANAMESIA ELISHIWAKWE MUSHI
27/7/1927-13/08/2011
FAMILIA YA BWANA NA BIBI GEORGE ISRAEL MNYITAFU KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU DR.SHANAMESIA ELISHIWAKWE MUSHI ,TUNAPENDA KUTOA SHUKRANI NYINGI NA DHATI KWENU NINYI WOTE MLIOKUWA NA SISI WAKATI WA KUUGUZA BABA YETU MPENDWA HADI PALE BWANA ALIPOMWITA KATIKA NYUMBA YA MILELE 13/08/2011 NA KUZIKWA TAREHE 16/08/2011 MACHAME KISIKI.SHUKRANI ZIWAENDE MADAKTARI NA WAUGUZI WA HOSPITALI YA MACHAME,KCMC,REGENCY NA MUHIMBILI,WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA-DAR ES SALAAM,MOSHI NA ARUSHA),UONGOZI WA KANISA LA AZANIA FRONT(MCHUNGAJI C.MZINGA,A.KIBONA NA E.LWIZA),VIKUNDI VYA KWAYA(AZANIAFRONT-KWAYA KUU,KWAYA YA VIJANA NA KWAYA YA AGAPE),MSAIDIZI WA ASKOFU DAYOSISI YA KASKAZINI MCHUNGAJI SHOO,MKUU WA JIMBO,MCHUNGAJI GLADNES SHAYO WA USHARIKA WA KALALI,PAMOJA NA WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA HADI NYINGINE KATIKA KUUGUZA HADI KUMZIKA BABA YETU MPENDWA.
ASANTE NA BWANA AWABARIKI
BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA LAKE LIIMIDIWE

No comments:

Post a Comment