Friday, October 14, 2011

ISSA SEWE AJIFUA KUMKABILI RAMADHANI SHAULI.

Kocha mkongwe wa mchezo wa ngumi , Habibu KInyogoli (kulia) akimwelekeza jinsi ya kutupa masubwi bondia Issa Sewe wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es salaam jana Sewe anajiandaa na mpambano wake na Ramadhani Shauli litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu.

1 comment:

  1. dar mpango mzima sule bigup kwakutupa hizo habari mbalimbali hebu jisajili kwenye hii site ya www.tanzaniakwetu.com na www.jigambeads.com ila safiiii.

    ReplyDelete