b..

B1

Wynem

animation

Tuesday, October 11, 2011

AFANDE SELE ADONDOSHA MZIGO MPYA KITAANI.


Aafande ameachia ngoma inaitwa  Maskini Hafulii
Akiwa amewashirikisha 20 % na Blacka
huku mzigo mzima ukiwa umepikwa katika studio za Mahewa Records
na mtu mzima Producer Wille

No comments:

Post a Comment