Wednesday, October 12, 2011

HAPPY B'DAY KAKA JHIKO MAN

Timu nzima ya blog ya MTOTO WA MITAA pamoja na kampuni ya 
SULE'S INC. & ENTERTAINMENT kwa pamoja wanakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu, afya na nguvu za kuendeleza hili gemu la muziki.
GOD BLESS U BRO. 

No comments:

Post a Comment