Sunday, October 23, 2011

JONAS SEGU, DEO NJIKU WAPIMA UZITO KWA AJILI YA KUZIDUNDA JUMAPILI HII MOROGORO

Bondia Deo Njiku wa Morogoro akipima uzito uwanja wa Jamuhuri leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho   kushoto ni mpinzani wake Jonas Segu na promota wa mpambano uho Alifa Kipao.
kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach'  katikati akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu  wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa 

Jamuhuri Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili.

No comments:

Post a Comment