Sunday, October 30, 2011

MATUMLA, MIYAYUSHO KUTOANA JASHO LEO

Hapa wakipima uzito (jana)
Mabondia Francis Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla wakitunishiana misuri leo baada ya kupima katika ukumbi wa Amana Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao kesho

No comments:

Post a Comment