Sunday, October 30, 2011

ANT VIRUS NA DEIWAKA KURINDIMA KATIKA VIWANJA VYA POSTA KIJITO NYAMA

Mbunge wa Mbeya mjini Sugu anatarajia kuongoza kundi la wasanii wa muziki wa kizazi kipya Vinega, ambao walifanya  albamu ya Ant Virus  katika tamasha la Muziki unalipa, lililoandaliwa na kampuni ya Dewaika Entertaiment, katika viwanja vya Posta Kijito nyama. 
Tamasha hilo litakusanya wasanii mbalimbali, ambao wamo kwenye Ant Virus namba moja na Ant Virus II,  siku ya Nov 5 mwaka huu huku wakitoa kauli yao kwamba burudani kwa mashabiki..


No comments:

Post a Comment