Thursday, October 20, 2011

BURIANI RAHMA SWAI

Rahma Swai (21) enzi ya uhai wake

Marehem rahma swai alifariki juzi jumanne octoba 18 katika Hospitali ya Ligula iliyopo mjini mtwara alipokuwa akipata matibabu.
rahma pia laikuwa akifanya kazi katika kituo cha redio cha Safari FM cha mjini mtwara
Kwa upande mwingine Rahama alikuwa Miss Mtwara 2011. na pia alishawahi kushiriki Miss Higher learnig 2010 na aliweza kuingia top 5.
Rahma anatarajiwa kuzikwa leo saa saba mchana katika makaburi ya kibamba nje kidogo ya jiji la dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment