Thursday, October 13, 2011

MBUNGE WA MVUMERO AMOS MAKALLA ATEMBELEA ENEO LA MGOGORO WA ARDHI KINYENZE

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uzio

uliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha
Kipera, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwenda
katika mtaa wa Mwanga  na katika mashamba. Pia mwekezaji huyo raia wa
kigeni amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifa
yeyote kwa Halamashauri ya Kijiji na wananchi.

No comments:

Post a Comment