Monday, October 31, 2011
Sunday, October 30, 2011
YALIYOJIRI VIWANJANI WIKIENDI HII
Mwana mmoja akishoo lav na Dj Choka
Dully Sykes
Roma Mkatoliki akifanya mambo
Joh Makini akiimba na mashabiki
Wadau wa buruda
Mauno kama kawa
........Wadau waliojiachia na kamera ya MTOTO WA KITAA
Kuanzia kushoto ni Mansulee, Suma lee na Jih Makini
Sule Junior (Mtoto wa Kitaa) na Dullah
Sule Junior na Mansulee
Mrembo Eileen kutoka IFM
Warembo Anitha (kushoto) na Felist
MATUMLA, MIYAYUSHO KUTOANA JASHO LEO
Hapa wakipima uzito (jana)
ANT VIRUS NA DEIWAKA KURINDIMA KATIKA VIWANJA VYA POSTA KIJITO NYAMA
Mbunge wa Mbeya mjini Sugu anatarajia kuongoza kundi la wasanii wa muziki wa kizazi kipya Vinega, ambao walifanya albamu ya Ant Virus katika tamasha la Muziki unalipa, lililoandaliwa na kampuni ya Dewaika Entertaiment, katika viwanja vya Posta Kijito nyama.
Tamasha hilo litakusanya wasanii mbalimbali, ambao wamo kwenye Ant Virus namba moja na Ant Virus II, siku ya Nov 5 mwaka huu huku wakitoa kauli yao kwamba burudani kwa mashabiki..
Tamasha hilo litakusanya wasanii mbalimbali, ambao wamo kwenye Ant Virus namba moja na Ant Virus II, siku ya Nov 5 mwaka huu huku wakitoa kauli yao kwamba burudani kwa mashabiki..
Thursday, October 27, 2011
ZITO KABWE KUPELEKWA INDIA KWA MATIBABU ZAIDI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya kichwa.
Awali Zitto alilazwa katika hospitali ya Aga Khan kabla ya jana kuhamishiwa Muhimbili baada ya hali yake kubadilika na kutetemeka mwili mzima na o alipokelewa hospitalini hapo alikimbizwa katika Idara ya magonjwa ya dharura (EMD) na kuanza kupatiwa matibabu.
Habari zilizopatikana zinasema Mbunge huyo machachari na mwanachama wa Simba anatarajiwa kupelekwa nchini India kwa matibabu zaidi.
SALHA ISRAEL APETA MISS WORLD 2011
Salha Izrael, Miss Tanzania 2011 akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Dunia. Hapa wakiwa Scotland.
MKAZI WA KAWE AJINYONGA NA KUFA KWA KILE KILICHODAIWA KUWA NA MFARAKANO NA MKEWE.

Marehemu Barnabas akining'inia mara baada ya kujinyonga na kitambaa mapema leo asubuhi nyumbani kwake.

Mwili wa Marehemu Baranabas ukitolewa nje na askari wa kituo cha kawe huku umati mkubwa wa watu ukilishuhudia tukio hilo la kuhudhunisha.

Mwili wa Marehemu Baranabas ukitolewa nje na askari wa kituo cha kawe huku umati mkubwa wa watu ukilishuhudia tukio hilo la kuhudhunisha.

askari wa kituo cha Kawe wakiupakiza mwili wa Marehemu Barnabas kwenye gari ya polisi kwa uchunguzi zaidi.
VIDEO MPYA YA AY ft SAUTI SOUL KUCHEZWA LEO KAMA EXCLUSIV KATIKA MTVbase

Video Mpya Ya Msanii Ay Itachezwa leo kama Exclusive on MTVbase @ 16:00 Cat kwa mujibu wa MTVbase. na Soon utaweza kuiona kwenye Television Mbali Mbali. AY amesema kwamba video iyo imefanywa chini ya OGOPA videos na ndani ya Track iyo amewashirikisha wasanii kutoka kenya wanaojulikana kama Sauti Soul.
DK. MARY NAGU AZINDUA JENGO JIPYA LA UWEKEZAJI NYANDA ZA JUU KUSINI.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji), Dk. Mary Naguakikata utepe kuzindua ofisi ya kituo cha uwekezaji (TCI) nyanda za juu kusini mjiniMbeya.
Akizindua ofisi hiyo mwishoni mwa wiki jijini Mbeya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji), Dk. Mary Nagu alisema ofisi hiyo ni muhimu katika kusaidia wajasiriamali na wawekezaji wa mikoa ya Ruvuma, Iringa Rukwa na Mbeya kuitumia kwa ajili ya kuanzisha miradi mbalimbali ya uwekezaji.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIC, Balozi Elly Mtango.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Raymond Mbilinyi alisema Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akimkaribisha waziri Mary Nagu alisema mkoa wake unazo fursa nyingi zikiwemo za kilimo katika Bonde la Mbarali na maeneo mengine, ufugaji, uvuvi katika ziwa Nyasa, utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo na uchimbaji wa makaa ya mawe katika eneo la Kiwira.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa kituo cha uwekezaji jijini Mbeya kutoka Kushoto Mbele ni Mrs Kadyanji na anaefuatia ni Mrs. Yunge na wajasilia mali wengine.
Wednesday, October 26, 2011
FRANCIS MIYAYUSHO NA MBWANA MATUMLA WATAMBIANA MPAMBANO JUMAPILI
Mratibu wa mpambano wa ngumi Mohamedi Bawaziri katikati akiwa na mkanda wa ubingwa utakaogombaniwa na mabondia Fadhili Majia (kushoto) na Juma Fundi siku ya jumapili.
(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Tuesday, October 25, 2011
MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE SONGWE MBEYA
Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha ndege songwe Mbeya
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi uwanja huo kwa muda uliopngwa
Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa
Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja
Picha zote na: www.latestnewstz.blogspot.com
Monday, October 24, 2011
Sunday, October 23, 2011
MISS JESTINA BLOG YASHINDA TUZO YA BLOG YA MWAKA UK.
Frank Eyembe kutoka Urban Pulse, Lynn Kapinga, Jestina George, Mashel & Musa Sissasi Sarr
Wakati akitoa Hotuba yake Jestina alianza kwa kumshuru Mungu ambae amemwezesha kumpatia uzima, afya njema pamoja na mafanikio makubwa aliyopata mwaka huu. Aliendelea kwa kuwashukuru Wazazi wake na mwisho wadau wote ambao walimpigia kura Pia Mabloggers na Tovuti mbalimbali ambazo zimemsaidia kumpigia debe na kuibuka mshindi wa BLOG OF THE YEAR 2011 kutoka kwenye kundi lenye Blog 15 za kimataifa. Hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Mtanzania kuingia, kushinda na kumfanya kuwa Mtanzania wa Kwanza kupokea tuzo za BEFFTA kwa upande wa Blogs
Jestina George ameitoa wakfu Tuzo yake kwa dada yake mpendwa Kissa George ambaye hatunaye tena hapa Duniani.
Vazi lake lilibuniwa na KIKI wa Kiki's Fashion Tanzania.
Subscribe to:
Posts (Atom)