Friday, October 1, 2010

WAJUE HAWA.

Wana wa Leo Tena wa Clouds FM katika picha ya pamoja
Hawa ndio atangazaji waSuper Clouds Fm kupitia kipindi chao cha Leo Tena wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo asubuhi,Kulia ni Mwendeshaji wa kipindi hicho,Dina Marious,Kutoka Prime Time Promotions,Abraham Mossi,Zamaradi Mketena wa Muvi leo na pia ni mtangazaji kupitia kipindi cha filamu kiitwacho Take One ndani ya Clouds TV, pamoja na Mama lao Geah Habib mam wa Heka Heka.
Mzee wa Mzima wa enzi hizo tangu Clouds FM inaanza,Dj Bogie Master akikumbushia enzi zake za makamuzi, leo aliakuwa anaangusha ngoma moja baada ya nyingine ndani ya Leo Tena.

No comments:

Post a Comment