Wednesday, October 6, 2010

TID KUTOKA NA ALBUM BAADA YA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 31.

Khalid Mohammed aka TID anatarajia kutoa album yake mpya maara tu baada ya uchaguzi, hivi karibuni ametoa video ya wimbo wake mpya ambao ni maalum kwa mashabiki wake unaokwenda kwa jina la Sifai.
TID amesema kwamba mpaka sasa album halijapewa jina, lakini washabiki wasihofu kwa sababu kila kitu kitakuwa kimekamilika kabla ya uchaguzi mkuu itakayofanyika tarehe 31 Oktoba mwaka huu.

No comments:

Post a Comment