Friday, October 1, 2010

JULLIET ATUA NA TAJI LA MISS CONGRESS INTERNATIONAL


Mrembo Jullieth William, aliyekwenda kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Italy, kupitia shindano la Miss Congres Internatinal lililofanyika Ijumaa iliyopita na kufanikwa kutwaa taji hilo kwa kuwa mshindi wa kwanza, leo amewasili hapa nchini na kuikabidhi bendera ya taifa kwa serikali.

Jullieth (kushoto) baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA).
Akiongea na wanahabari.
Akisali pamoja na familia yake.
Julieth akiwa na Mkurugenzi wa mashindano hayo hapa nchini, Beatus Kaboja wa kampuni ya Syscorp Managements.
.
Julieth kimkabidhi bendera aliyokwenda nayo Afisa Habari wa Bodi ya Utalii nchini Miss Immaculate.

No comments:

Post a Comment