Tuesday, October 19, 2010

UDHAMINI WA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL WAFIKIA 35ML.  Udhamini wa hoteli ya giraffe katika shindano la Girafee unique model 2010 umefikia milioni 35 za kitanzania ambapo baadhi ya mambo mengine na wadhamini kadhaa wakijitokeza kudhamini shindano hilo la mitindo ambalo linategemewa kua la aina yake kwa kufungia mwaka kimitindo
   Girrafe unique model ni shindano la kumtafuta mwanamitindo wa kike mwenye sifa za tofauti ikiwa na lengo kuu la kuleta mapinduzi ya mitindo nchini tanzania
   Pia mbunifu wa mavazi nchini Tanzania ali lemtulah amejitokeza kama mdhamini wa mavazi na mtu atayemchukua model mmoja kama balozi wa nembo ya nguo zake zinazotegemewa kuzinduliwa mwanzoni mwa mwaka ambae atafanya kazi na mwanamitindo huyo kwa mwaka mzima ....ni kitu kikubwa sana watanzania.

No comments:

Post a Comment