Friday, October 1, 2010

HAYA NDIO MAMBO YA FERRE GOLLA DIAMOND JUBILEE.

Ferre Golla katikati akitambulishwa watangazaji wa TBC1 Benny Kinyaiya kushoto pamoja naye mtangazaji wa Clouds FM Sofia Kessy wakati alipopanda jukwaani ili kuonyesha uwezo wake katika muziki
 
Mmoja wa wanenguaji wa mwanamuzki huyo akicheza huku Ferre Golla akiimba.

Mashabiki wa mwanamuziki Feree Golla wakidimbwilika na muziki wa mkali huyo wakati alipokuwa akifanya vitu vyake.
DJ wa siku nyingi kutoka Clouds FM Charles Mhimiji wa pili kutoka kulia nyuma aliyekaa naye alikuwepo ili kushuhudia burudani hiyo
  
Mashabiki mbalimbali wakimshuhudia Ferre Golla mkali wa muziki kutoka nchini Congo wakati walipokuwa wakitumbuiza usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Huyu shabiki ni kama vile anatoka baruti jukwaani! lakini hii ilikuwa ni staili ya uchezaji tu
Hapa Mecklicius akitafuta taswira ya Ferre Golla hayupo pichani wakati alipokuwa akiimba jukwaani.
Mwanamuziki kutoka nchini Congo a.k.a DRC Ferre Golla (kati) akiwasalimia mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi usiku huu ndani ya ukumbi wa Diamonnd Jubilee,Kulia ni Mwanadada Sofia Kessy kutoka Clouds FM na kushoto ni Benny Kinyaiya wa TBC1 

Hapa jukwaa lilipamaba moto.

Mke wa Macheni na wapambe wake wakielekea jukwaani kumtunza ua Ferre Golla jukwaani.
  
MKe wa macheni,Ashura tayari amekwishampa ua zuri Ferre Golla kisha snap ya ukumbusho kama hivi huku mdau mwingine akila chabo kiaina

Kushoto ndio Macheni mwenyewe akiwa na mkewe Ashura ambaye akimng'ata sikio Ferre Golla.Mwanamuziki huyo jioni ya leo atakuwa jijini Mwanza katika uwanja wa CCM kirumba,ambapo atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo la miamba.

No comments:

Post a Comment