Thursday, October 7, 2010

NIKIKUTANA NA WADAU WANGU NA MAMBO YANAKUWA HIVI.

Hapa kuanzia kushoto ni Rais wa SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANZANIA (TAF) Saimon Mwakifamba, Mtoto wa kitaa na Ally Salum
Nikiwa na Rais wa shirikisho la filamu na wadau wengine wa blog ya mtoto wa kitaa pale BASATA tulipokutana kwa ajili ya mambo yetu sanaa.
Hapa nipo na mdau mkubwa wa blog hii anaitwa Jerome Risasi pia ni mwandishi wa habari.
Huyu ni mdau mkubwa kabisa wa blog hii, pia ni msanii wa HIP HOP anaitwa TDX

No comments:

Post a Comment