Friday, October 1, 2010

KITAANI KAMA KAWA.


Hapa nikiwa na mwanangu wa long time ambae yulikuwa nae kwenye kikungi cha sanaa cha SEABREEZ ARTS GROUP mwaka 2006. Leo nimekutana nae kitaani bana1
Pia nimekutana na watoto wakali wa kudansi lakini bado wako kitaa tu. Hapa wakiwa wamevaa T-Sirt za msanii yuda skills ambapo kwa muda huo ndio walikuwa wakisubiri shoo ya msanii huyo ili waipambe kwa kudansi.

No comments:

Post a Comment