Sunday, October 3, 2010

IRINGA MJINI WASIMAMISHA SHUGHULI KWA MUDA ILI KUMPOKEA DK. SLAA.

Wananchi wakitazama Helkopta ya Dr Slaa ikitua katika uwanja wa Mwembetogwa tayari kwa kuanza mkutano wake wa kampeni mjini Iringa mapema jana.

Uwanjani hapo kulikuwa na ulinzi wakutosha kabisa

Umati wa wananchi wa jimbo la Iringa mjini waliojitokeza katika uwanja wa Mwembetogwa mapema jana kumsikiliza Dr.Slaa kwenye moja ya mikutano ya kampeni zake mjini humo.

Hahahahahahahaha! hawa jamaa wanafurhisha kweli!Ni wananchi wa jimbo la Iringa mjini na kituko hiki! Yaani hapa wanarekodi hotuba ya Dr Slaa kwa kumbukumbu zao.
Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dr Willibrod Slaa akihutubia huku akishangaa umati mkubwa wa wakazi wa jimbo la Iringa mjini ambao wamefika katika uwanja wa Mwembetogwa Iringa mjini kumsikiliza katika muendelezo wake wa mikutano ya kampeni za chama hicho.

No comments:

Post a Comment