Friday, October 8, 2010

LEO NIMEKUTANA NA KING CRAZY GK MAZEE.

Katika pita pita zangu mtoto wakitaa si ndio nikakutana na mtu mzima GK tukaongea mambo mengi kidogo kuhusu ukimya wake na sio muda mrefu utapat kilichomfanya awe kimya kwa muda wote huo kupitia hapahapa kwenye blog ya mtoto wa kitaa. Baada ya maongezi kibao ikabidi tupate picha mbili tatu.

No comments:

Post a Comment