b..

B1

Wynem

animation

Thursday, October 14, 2010

KAMA KAWA, KAMA DAWA, MIMI NA WANANGU WA KITAA TUMEWEZA KUSHERHEKEA NYERERE DAY KWA KUFANYA UTAALII WA NDANI.

Hapa ndio tulifika getini na tukasani kisha kuingia ndani ya makumbusho ya taifa.
Hapa tukipata maelekezo mafupi kutoka kwa mpokea wageni ambapo tulilipia na kisha kuingia ndani na kujionea vilivyopo
Hili ndio jengo la makumbusho linavyo onekana
Na huu ndio mlango ( Geti) la kuingilia. 
Hapa mimi na kaka yangu Khalili tukiangalia baadhi ya vitu vya kale vilivyotumiwa na mwatu wa kale
Khalili akiwa klwenye baioskeli ya mbao ilikuwa iktumika karne ya kumi na saba
Hapa mtoto wa kitaa nikielezea vifaa vya muziki vilivyotumika enzi za kale.
Khalili akiwa kwenye mtumbwi ulikuwa ukitumika kwa shughuli za uvuvi
HApa tukijaribu kuinua pembe ya Ndovu iliyopo pale mjengoni kama maonesho ya fahari yetu (TANZANIA).
Ranmaini ya Afrika inayoonesha mahali palipovumbuliwa vitu vya kale.
Kaka Khalili akijaribu kutoa Fedha kwenye atm iliyopo pale makumbusho ikiwa ndiyo A.T.M ya kwanza kabisa ktumika hapa nchini
Haya ni mabaki ya vilivyoharibika kwenye mlipuko wa mabomu ya ubalozi wa marekani mwaka 1998
Hapa nilikuwa nashangaa dude la kupigia mizinga maana nilikuwa naliskia tu na kuliona kwenye tv wakati wa manesho ya taifa
Haya ndio magari aina ya MORISS aliyokuwa akitumia baba wa taifa.
Hili ndio gari aina ya MORRIS la kwanaza kutumiwa na baba wataifa wakati akisaka uhuru
Baadhi ya mashua na mitumbwi iliyokuwa ikitumika kwa shuguli za uvuvi na usafiri wa majini enzi hizo.
 
Kama kawaidda mtoto wakitaa nakuwa napenda sana kushoo lav na watoto wengie, kama unavyoona hapa ni wanafunzi ambao na wao walikuja kutembelea makumbusho.


Baada ya kuzunguka sana tukatulia mahali na kuanza kupiga chombo cha muziki cha kale kiitwacho marimba.
Huyu ni mwanangu wa kitaa anaitwa John tupo nae pande hizi ila yeye anataka kutpiga picha tu, hataki kuonekana kabisaila hapa tumemuotea kisela.
Baada ya yote hayo sasa Tupo Beach kama vip njoeni wana tujumuike pamoja!

No comments:

Post a Comment