Sunday, April 8, 2012

WASANII WATOA WIMBO WA MAOMBOLEZO KIFO CHA KANUMBA.

Kwa huzuni na masikitiko makubwa uongozi wa SHINE PRODUCTIONS TANZANI chini ya DR.SILSILA tunapenda kutoa rambi rambi zetu kwa njia hii ambapo kwa kuzingatia umuhimu mkubwa sana wa KANUMBA THE GREAT katika tansinia ya filam tanzania na muziki wa injili tumeamua kufanya wimbo kwa ajili ya kumuenzi mpendwa wetu STEVE CHARLES KANUMBA,wimbo huu umefanyika katika studio ya SHINE PRODUCTION iliyoko kinondoni na tunatarajia mpaka kufikia kesho saa 6 video yake itakuwa tayari hivi nitumapo mail hii tayari director wangu amekwisha andaa kila kitu zikiwemo shots za kusikitisha zinazotoa uhalisia juu ya KANUMBA kipenzi cha wengi.

R.I.P STEVE CHARLES KANUMBAWE NOW REALIZE THAT YOU NOT TOGETHER WITH US AGAIN IN OUR EYES BUT YOU WILL ALWAYS REMAIN IN OUR SOULS 4EVER.


No comments:

Post a Comment