Sunday, April 8, 2012

BEAKNG NEWS!!!! ....ASKARI WA JESHI LA POLISI NA POLISI WA JIJI WAVAMIA UBUNGO DARAJANI NA KUVUNJA VIBANDA VYA WAKAZI WA ENEO HILO MUDA HUU

 Askari wa jiji wakiwa wamevunja vunja  vibanda vya wafanya biashara wadogo wadogo na kwenda kutupia Dampo
Polisi Muda huu wakiwa wameimarisha ulinzi huku Askari wa jiji akiendelea na Bomoa bomoa
 Hivi ni vibanda ambavyo vipo njiani lakini havija bomolewa
Majeshi ya Polisi yaongezwa zaidi kuimalisha ulinzi hawa ni FFU
 Askari wa kikosi cha FFU wakiwa wamewasili eneo la tukio kuimalisha ulinzi zaidi
Ulinzi umezidi imalishwa zaidi haya ni magari makubwa ma nne ya polisi ambayo yameyanda eneo hilo kuelekea River side huku Bomoa bomoa la vibanda linaendelea.
 Hawa ni Baadhi ya watu wapo wamelala humo ndani wameumizwa vibaya na wanawaishwa Hospitali muda huu.
Baadhi ya wadau wakiwa wamekamatwa na wapo chini ya ulinzi
Picha zote na mwandishi wetu aliye eneo la tukio muda huu na Blog ya Dar yetu

No comments:

Post a Comment