Sunday, April 8, 2012

KANUMBA KUZIKWA DRA JUMANNE (J'4)

Rais Jakaya Kikwete akisaini Kitabu cha maombolezo
Hiki ndio cheti cha kifo cha Steven Kanumba
Mbunge wa kinondoni Mh. Iddi Azzan akiingia msibani
Waziri Ngeleja akisaini kitabu cha maombolezo
Waziri Ngeleja na Eric Shigongo wakielekezana jambo
Ruge Mutahaba akibadilishana mawazo na Waziri William Ngeleja
Waziri William Ngeleja
JB na Miraji Kikwete
Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi aka Sugu akisaini kitabu cha maombolezo
Waziri Ngeleja na wakubwa wa Polisi
Miraji Kikwete na Steve Nyerere
Msanii Diamond akisaini kitabu cha maombolezo

No comments:

Post a Comment