Sunday, April 1, 2012

KAMANDA GULUMO WA MSONDO NGOMA AREJEA JUKWAANI KWA KISHINDO BAADA YA KUPONA MARADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA

Wasanii wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani katika viwanja vyaSigara Dar es salaam jana kushoto ni Shabani Dede na Muhidini Gulumo ambaye amerudi kwa kishindo baada ya kuwa benchi kwa wiki mbili wakati akiwa anaumwa na sasa yupo fiti kuendelea kutoa burudani kwa wapenzi wa bendi hiyo leo watamaliza wiki End katika ukumbi wa Max bar Ilala Bungoni.
Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika viwanja vya klabu ya sigara Dar es salaam jana kushoto ni Eddo Sanga na Shabani Dede bendi hiyo leo hipo katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni.(Picha na www.burudan.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment