Tuesday, April 10, 2012

MTOTO WA KITAA LIVE KUTOKA LEADERS CLUB! KWENYE KUUAGA MWILI WA STEVEN KANUMBA

Huu ni umati uliokuwa ukimiminika pande za leaders
Umwati uliofurika Leaders
Waandishi na wapiga picha wakiwa wamejipanga
Jukwaa kuu linavyoonekana
Jeneza la Steven Kanumba likiwa wazi kwa ajili ya kupewa heshima ya mwisho.
Ruge akiongoza baadhi ya wadau kwenda kutoa heshima ya mwisho
Makamu wa rais Dk. Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa Steven Kanumba
Mama Salma Kikwete, waziri Nchimbi, Membe na wadau wengine walitoa heshima zao
Baadhi ya wadau wakienda kutoa heshima
Mussa Hussein akiripoti tukio zima
watoa huduma ya kwanza wakitoa watu waliozimia na kuwapeleka katika sehemu kwa ajili ya kuwapa huduma
Baadhi ya watu waliozimia wakiwa kwenye banda la Red Cros wakipata huduma ya kwanza
Nape Nnauye, Katibu wa itikadi na uenezi CCM, akizungumza na waandishi wa habari
Wilsoni Mukama, Katibu mkuu wa CCM, akizungumza na waandishi wa habari
Waandishi wa Blogu za hapa mjini, Kuanzia kushoto ni Othman Michizi (mta kwa mtaa), Dj Choka (Bongo Star link), Sule Junior (Mtoto wa Kitaa) na mshkaji wa mitaa ya kati wakiwakilisha!No comments:

Post a Comment