Tuesday, April 3, 2012

MFUKO WA PESHENI WA LAPF WAPIGA TAFU KAMBI YA MASUMBWI

Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya.

(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment