Wednesday, January 11, 2012

TIGO WAKABIZI ZAWADI ZA WASHINDI WA PROMOSHENI YA ZAMU YAKO KUSHINDA


Ofisa uhusiano wa Kampuni ya Tigo (kushoto) Alice Maro akimkabidhi mshindi wa milioni nne mfano wa hundi Dar es salaam les Bw.Emmanuel Mnyima

Ofisa uhusiano wa Kampuni ya Tigo (kushoto) Alice Maro akimkabidhi mshindi wa milioni nne mfano wa hundi Dar es salaam les Bw.Raymond Mwegoha

Ofisa uhusiano wa Kampuni ya Tigo (kushoto) Alice Maro akimkabidhi mshindi wa lap top Dar es salaam leo Bw.Philomon Kilibata

No comments:

Post a Comment