Monday, January 2, 2012

MATUMLA AMGALAGAZA CHEKA KWA POINTI


Bondia wa kike Asha Nzoa akishangilia baada ya kutangaza msindi kwa kumtwanga mpinzani wake Slma Kihobwa katika mpambano wa utangulizi kabla ya Mohamedi Matumla na Cosmas cheka awajapanda ulingoni jana katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro
Asha Nzoa (kushoto) akionyeshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Salma Kiholwa
kutoka kushoto ni Rashid Matumla,Mohamedi Matumla,Mbwana Matumla na Mkwanda Matumla 
Mohamed Matumla (Kushoto) na Cosmas Cheka wakioneshana uwezo wa kutupa Masumbwi janawakati wa mchezo wao uliofanyika uwanja wa Jamuhili Morogoro jana Matumla walishinda kwa pointi
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akikingiana ngumi na Rais Wa PST Emanuel Mlundwa kabla ya kuanza kwa mpambano jana
Bondia Rashid Matumla (kushoto) akimpa mawaidha mwanae wa kwanza Mohamed Matumla wakati wa mpambano wake na Cosmas Cheka kulia ni Mbwana Matumla akimkandakata.Mbwana Matumla kulia akimganga bondia Mohamedi Matumla wakati wa Mpambano wake na Cosimas Cheka Mohamedi alishinda kwa point.Bondia mohamedi Matuimla akishangilia ushindi baada ya kutangazwa kumchapa Cosmas Cheka
(picha na www.superdboxingcoach,blogspot.com)

No comments:

Post a Comment