Monday, January 2, 2012

NGOMA MPYA KUTOKA TETEMESHA RECORD, 'NISHIKE MKONO' BY C- SIR MADINI


Heri ya mwaka mpya mdau, 
Tetemesha Recordz inayo furaha kuuanza mwaka 2012 kwa kutambulisha wimbo mpya wa C-SIR MADINI  unaitwa NISHIKE MKONO.  Wimbo huu ni mwendelezo wa love story ya wimbo uliopita wa C-SIR unaoitwa KIFUNGO HURU. Video ya NISHIKE MKONO  itafuata baadae. Thanx for ur support na tunaamini utaendelea na moyo huo na sisi tunaahidi kuendelea kufanya kazi bora.
CREDITS
Track Name: NISHIKE MKONO
Artist: C-SIR MADINI
lyrics composed by: C-SIR MADINI & KID BWOY
arranged by: C-SIR MADINI
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ
JANUARY 2012
SIKILIZA HII NGOMA HAPA CHINI NA DOWNLOAD FOR PROMO ONLY

No comments:

Post a Comment