Saturday, January 14, 2012

MWAMVITA'S CHARITY SALE YAFANYIKA

Bango
Kiki and Shamim....
Mwammy, Flavianna, Joselene, and Mange, sorting out cloths..
Mwammy pricing clothes....
Office wear....OMG yaaani..
Long dresses za ukweeee.....
Office wear...pencil skirts na mashati...
aaaawwww.... viwalo vya ukweeee....Mwamvita anasema "Mmekuwa mkiuliza bei za nguo"Bei za nguo ni kuanzia 10,000 – 100,000Yaani bei ni poa sana…… lazima utakuta kitu ambacho u can afford…Jamani nguo ni nzuri sanaaaa… yani mie ntawahii saa nne kamili niwahi viwalo nilivyovipenda leo maana tulinyimwa kununua leo…. Uwiiiii,nguo ni nzuriiiiiiii!!Event itaanza 10am – 7pm, Jumamosi (kesho) pale Kikis Fashion. kama hupajui Kikis piga number hii kupewa directions +255714817102 Ila usije kuchelewa ukakuta the best stuff zishanunuliwa hivyo wahi mapema.Kumbuka kwamba hii kitu yote ni kwa ajili ya kupata pesa kuweza kusomesha watoto yatima, so hata kama unajiona wewe ni mnene huwezi pata size, u can still come na ukamnunulia ndugu yako au rafiki yako chochote just to show ur support....

No comments:

Post a Comment