Tuesday, January 3, 2012

HAPPY NEW YEAR KWA WADAU WOTE WA BLOG YA MTOTO WA KITAA NA SULE'S INC & ENTERTAINMENT

Hapa kama kawa SULE'S INC. & ENTERTAINMENT ilisababisha Tamasha moja kubwa la wazi pande za KAWE jijini Dar.
Kama kawa kitengo cha Production SULE'S INC. & ENTERTAINMENT tunakimbiza...
Katika moja na mbili pia SULE'S INC. & ENTERTAINMENT imekamilikaaaaaa
Presentation, .....SULE'S INC. & ENTERTAINMENT kama kawa ipo spidi mia mbili...
Kujitolea kwa ajili ya watu wengine ni sehemu ya SULE'S INC. & ENTERTAINMENT.
Kuripoti MATUKIO kupita blog ya MTOTO WA KITAA. SULE'S INC. & ENTERTAINMENT ni wajibu wetu.
SULE'S INC. & ENTERTAINMENT wakati mwingine huwa tunapiga kambi popote
Kama kawa huwa tanashoo lav na wana wa kitaa kama hivi.
Na hii ndio logo / Nembo ya kampuni  ya SULE'S INC. & ENTERTAINMENT

Hey yooooooh ma pipoooooooo, Mambo vipiiiiiii!?
.....MWAKA ndio huu apa mazeeee! huu ni mwaka wa kukunja sura na kukunjua MOYO! harakati bado zinaendelea kama kawa!
Kwa niaba ya SULES INC. & ENTERTAINMENT tunatoa shukurani za dhati kabisa kwa wanakikundi wote, wadau wa blog ya MTOTO WA KITAA na wadau wa sanaa na burudani kwa ujumla kwa kushirikiana na sisi vyema kwa kipindi chote cha mwaka mzima wa 2011. 
Naomba tuendelee na moyo huuhuu kwani mungu akijaalia kuna mambo mengi mazuri yanakuja kwa mwaka huu wa 2012 kwani SULES INC. & ENTERTAINMENT tumejipanga vyema katika kuendeleza hii sanaa na burudani kwa ujumla!
.......Najua kuna changamoto nyingi tulizokutana nazo mwaka uliopita (2011) lakini kwa mwaka huu naomba niseme tumejipasnga vya kutosha na safari hii mpaka kipa anaenda mbele kusshambulia.
......HAPPY NEW YEAR.......

No comments:

Post a Comment