Thursday, December 1, 2011

UBWA SALUMU AJIFUA KUMKABILI MUSTAFA DOTO DESEMBA 25

Bondia Ubwa Salum (kushoto) na Omari Bayi wakioneshana umwamba wa kutupa masubwi wakati wa Mazoezi ya Kambi ya Ilala Dar es salaam jana Ubwa anajiandaa na mpambano wake na Mustafa Doto Desemba 25 mwaka huu 

No comments:

Post a Comment