b..

B1

Wynem

animation

Friday, December 2, 2011

ANTIVIRUS KUKINUKISHA JIJINI MBEYA.

Wanaharakati wa muziki wa kizazi kipya wanaojiita ANTVIRUS a.k.a VINEGA wako mbioni kuanza ziara yao ya kimuziki inayotarajiwa kufanyika baada ya wiki mbili mkoani mbeya, ambapo kiongozi wa kundi hilo Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a MR II / SUGU, mbunge wa jimbo la mbeya Mjini. Baada ya show hiyo ya Mbeya, wanatarajia kuendelea na ziara katika mikoa mingine nchini Tanzania ili kuwapa burudani mashabiki wao na kutetea haki za wasanii wa muziki wa kizazi kipya. Vilevile baada ya kumaliza show zote nchini Tanzania wanatarajia kufanya show South Afrika ambayo itakua ni mwakani mwezi hujao.

No comments:

Post a Comment