Tuesday, December 13, 2011

KAMBI YA ILALA YAMFUA BONDIA UBWA SALUM KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE DEC 25.

Kocha Mkongwe wa Mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli (kulia) akiwaelekeza mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala 
Bondia Ubwa Salumu kushoto akioneshana kiwango cha utupwaji wa masumbwi na Abuu Mtabwe wakati wa mazoezi yanayoendelea ya kambi ya Ilala Ubwa anajiandaa na mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika desemba 25 katika ukumbi wa Herniken mtoni Kijichi Jijini Dar es salaam kusindikiza mpambano wa Maneno Osward na Rashidi Matumla siku hiyo.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment