Monday, December 5, 2011

KALALE PEMA MR EBBO..........

Mwili wa marehemu, Mr Ebbo ukiwa katika jeneza tayari kwa kwenda kuzikwa .

Mke wa marehemu akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuuaga mwili wa mumewe.

Wazazi wa marehemu kutoka kulia ni baba yake na mama yake.

Baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na majirani wakiuaga mwili wa marehemu, Arusha leo hii.

No comments:

Post a Comment