Friday, December 2, 2011

HAPI BESDEI CLOUDS FM ( CLOUDS FM YAFIKISHA MIAKA 12)mapokezi mjengoni
mwanamuziki  Shem karenga akionge ana sakina lioka live katika leo tena ya miaka 12 ya clouds fm

piter msechu live ndani ya mjengo
hawa ni viongozi wakikundi cha washereheshaji nao waliungana na wanafamilia 
ya clouds kutupongeza

dokii nae yumo jamani

wamkumbuka bishanga bashaija nae ndani ta movie leo hapo katika meza ya leo 
tena kutupongeza kufikisha miaka 12
husein jumbe nae alikuwepo nasi leo ndio leo
leo tena live toka shoto ni Gea Habib akifuatiwa na sakina lyoka pamoja na dina marios toka kulia. live leo watarusha chachandu on Tv ha ha ha i cant wait
Husen jumbe kipanga jambo na wapiga vyombo live on clouds tv
kila kona ni shamra shamra ya clouds fm mjengoni
mapokezi ya clouds media wageni mbali mbali wakiwa wamefika kutupongeza kwa kutimiza miaka 12 ya burudani
Rahmani Mpaka njia akipewa keki na clouds fm zawadi yake na nyingine nyingi atakabidhiwa kama alivyo ahidiwa Rahmani ni mtoto wa Marehemu Amina Chifupa na Mpaka Njia pembeni kabisa ni babu yake baba yake na Amina chifupa amesindikizwa na mtoto Elleza alie vaa tsheti ya mistari ni mtoto wa sakina lyoka. Rahman ametimiza miaka kumi leo happy birthday Rahman

No comments:

Post a Comment