Wednesday, January 26, 2011

VODACOM FOUNDATION KUMPIGA TAFU ALLY REHEMTULLAH KWENYE SAY NO TO DRUGS.Ally rehemtullah kwa kushiriokiana na Vodacom Foundation wameungana katika shoo moja kaba,mbe ya kupinga utumiaji wa madawa ya kulevya mjini Zanzibar.
Show hii inatarajiwa kufanyika chini ya tamasha la kimataifa la sauti za busara ambapo shoo itafanyika tarehe 8 februarikatika hoteli ya Serena
Pia katika shoo hii itahusisha maonyesho ya mavazi kutoka kwa wanamitindo tofauti tofauti ambao ni Ally Reahemtullah, Vida Mashimbo, Farouk Abdala na kihanga huku wakiwa na mamodo kumi wtano wa kiume na watano wa kike wate wakiwa wametokea jiji Dar es Salaam.
 madansa wa kimatasifa wanaojulikana kama Tamaly Dalal watakuwepo katika kuipendezesha shoo hiyo
Ally Rehemtulla alisema wameamua kufanya onesho hilo kutopkana na uamuzi wao wa kusaidia upambanaji wa madawa ya kulevya na pia mapato yaote yatakayopatikana kwenye shoo hiyo yataenda katika shirika lisilo la kiserikali la Drug Free Zanzibar kwa ajili ya kusaidia mapambano ya madawa ya kulevya “mapato hii sho yetu yote yataenda katika kikundi cha Drug Free Zanzibar ambayo ni Ngo inayopambana na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Darling Hair, I-vew photogrpher, Valey spring na serena Hotel pia waejitokeza kuidhamini shoo hiyo.

No comments:

Post a Comment